Matukio

Matukio mbali mbali kama yalivyotukia katika jumapili ya tarehe 5/06/2016
Mchungaji Rhoden akimpokea msharika mpya

Mchungaji Rhoden akiwabariki vijana waliohitimu mafunzo ya kipaimara

Mr ngulla akitoa salamu katika ibada maalumu ya mahafali,kipaimara na meza ya BWANA

HOPE kwaya wakimsifu MUNGU

Wahitimu wakicheza kwa shangwe kuelekea  ukumbini

Wahitimu wakicheza kwa Shangwe

Mgeni Rasmi mheshimiwa Rtta kabati akitoa salamu pamoja na kujibu risala iliyosomwa na uongozi wa CCTRUCU

Ms Baby baraka chuma mlezi wa CCTRUCU akitoa salamu kwa watu waliofika kuhudhulia mahafali

Mheshimiwa Ritta akimkabidhi mchungaji nyagawa mchango katika mahafari

Wahitimu wakitoa zawadi kwa mlezi wa CCTRUCU na Mchungaji kiongozi canon nyagawa

Mchungaji nyagawa na wahitimu katika picha ya pamoja

Mchungaji Nyagawa akitoa neno katika ibada

Wahitimu pamoja na washarika wengine wakishiriki meza ya BWANA

Bendi ya matarumbeta wakiongoza maandamano kuelekea ukumbini kwaajili ya sherehe

4 comments:

  1. Thank you for keeping us up to date, may God bless you abundantiy!!

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. JINA LA BWANA lihimidiwe kazi ya bwana inapendeza sana wote mbalikiwe kama unampenda yesu sema AMINA kubwa.ushauri wangu watu wote tupende kutembelea blog hii ...

    ReplyDelete
  4. Bwana asifiwe, Ahsante kwa marekebisho blogger, nashauri uipunguze upana hii blog ili iweze kufit kwenye window ya blowser zote, kwa mfano kwenye opera min haione kani yote... nenda kwenye TEMPLATE, kisha bonyeza "ADJUST WIDHTH" kisha upunguze upana angalau 1100/1000px, na pia kwenye left & Right... barikiwa sana,... pia picha ziwe zinawekwa chache zenye umuhimu zaidi maana picha zikiwa nyingi sana blog inakuwa nzito sana kufunguka ,.. UBARIKIWE KAKA KWA KAZI,

    ReplyDelete