Wednesday, December 19, 2012

LAMECK NA FAUSTINA WAMEREMETA

 
Lameck akimvisha pete Bi Faustina  mbele yao anayeonekana ni Mchungaji Samweli Masaba wa AICT aliyewafungisha ndoa siku hiyo.
 Lameck ambaye ni  M/kiti wa CCT RUCO  anasoma masomo yake katika sayansi ya  Habari na Teknolojia katika kitivo cha Computer Science  mwaka wa pili katika chuo kikuu cha Ruaha na akaona si vyema akae  peke yake aliamua kufunga pingu za maisha na Bi Faustina wa Makete Iringa tarehe 26/05/2012 katika Usharika wa CCT-RUCO kama inavyoonekana katika picha.
Hapo Bwana na Bibi Mtaka wakinong'onezana kitu wakati wanaingia Ukumbini
 Blog ya CCTRUCO inawatakia maisha mema katika ndoa yao Mungu ailinde na waishi maisha yenye Furaha na Upendo daima Mungu awabariki sana.

2 comments:

  1. Tunawapongeza sana kwa kufanikiwa kufunga pingu za maisha Hongereni sana

    ReplyDelete