Thursday, January 15, 2015

HATIMAYE KAMATI YA KUREKODI MKANDA WA PILI WA VIDEO YA ANZA MAKUSANYO YA FEDHA.

Sifa na utukufu ni kwa mungu baba wa mbinguni aliyetujaria kufika siku ya jumapili ya tar.11.01.2015 ambayo tulimshuhudia mungu kwa namna ya pekee sana ambapo kondoo wa bwana alirudishwa kundini na kumkili bwana yesu kuwa mwokozi wa maisha yake. katika ibada hii 8ndipo viongozi ambao hawakusimikwa waliingizwa kazini rasmi na baba mchungaji mlezi.ibada hii ndipo Ile kamati ya kurekodi mkanda wa pili wa video ya hope kwaya ilianza makusanyo ya fedha kwaajili kurekodi mkanda mpya wa video ya hope kwaya ambapo waumini walishiriki kwa kujitoa sana mungu awabariki.

Ashukuriwe mungu kwa maana tulimshuhudia kwa namna ya pekee sana kwani siku hii ilifanyika ibada ya kusifu na kuabudu ambayo ilihusisha vyuo vikuu vitatu vya hapa iringa yaani RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY, MKWAWA UNIVERSITY COLLEGE pamoja na IRINGA UNIVERSITY. Tunamshukuru mungu kwa maana ilikuwa ni ibada ya kubarikiwa sana.

praise and worship wakisifu na kuabudu

kiongozi wa maombi akiongoza maombi


 mchungaji akiwasimika viongozi wapya


 mchungaji akimuongoza kijana aliyekuwa anarudi kundini

 
;;











No comments:

Post a Comment