Monday, January 19, 2015

IBADA TAKATIFU

Shalom wapendwa katika bwana wetu yesu kristo, tunapenda kumshukuru mungu kwa kutujaria uzima na afya tele kwani tumeweza kufika siku nyingine ya ibada takatifu ambayo tumepata kujifunza neno la mungu kupitia mpakwa mafuta wake Mchungaji Chali. kipekee tumemshuhudia mungu kwa utofauti wa kipekee sana. ibada hii ilikuwa imehusisha sifa na kuabudu kupitia hope kwaya, praise and worship team na the voice.

Ndugu wapendwa, kamati ya maandalizi ya kurekodi mkanda wa video ya pili ya kwaya ya hope inapenda kuwa taarifu wanacct wote kuwa tar. 24/01/2015 kutakuwa na mnada kwaajili ya shughuli ya kurekodi mungu awabari na awajalieni afya njema na maandalizi mema ya mitihani iliyombele yetu.





 Praise and worship team wakisifu na kuabudu








 Mzee wa kanisa akisoma neno.


  wachungaji katika madhabahu kushoto ni Mch. Nyagawa na kulia ni Mch. Chali

 makamu katibu akisisitiza matangazo

                           
Mzee wa kanisa akisoma matangazo



 Mch. akihubiri neno.








 waumini katika harakati za kurudisha vyombo vya mziki ofisi za cct 




No comments:

Post a Comment