Sunday, May 31, 2015

SHUKRANI KWA MUNGU

Ni jambo jema sana kwa mwanadamu kumshukuru mungu kwa moyo wake wote, kwa akili yake yote na kwa mali zake zote. Uongozi wa CCT RUCU unapenda kumshukuru mungu kwa neema na baraka hata kufikia siku ya leo katika nyumba yake takatifu ya ibada siku ya tar.31/05/2015, ibada hii ilihusisha ubatizo wa mtoto chini ya mch. Nyagawa na shukrani kwa wahitimu ambapo wahitimu mwaka 2014/2015 waliweza kumshukuru mungu wa mbiguni kwa neema na fadhili zake katika maisha yao. Zaidi uongozi unapenda kuwashukuru waumini wote waliyopata nafasi ya kushiriki ibada hii.
"MWENYEZI MUNGU AWABARIKI MUINGIAPO NA MTOKAPO HEKALUNI MWAKE"















2 comments: