Wednesday, May 27, 2015

MAHAFALI

UONGOZI wa CCT RUCU unapenda kumshukuru mwenyezi MUNGU katika maandalizi na hatimaye kufanikisha sherehe ya mahafali ya wahitimu mwaka2015 iliyofanyika hapa chuoni katika ukumbi mkuu wa mikutano yaani ASSEMBLY HALL, zaidi uongozi unapenda kuwasukuru waumini wote waliojitoa katika kuandaa sherehe hii na hatimaye kufana sana, sherehe hii ili waunganisha waimbaji binafsi na kwaya kama vile JJ RWIZA kutoka JIJINI MBEYA, HOPE CHOIR wenyeji, YOUTH ALIVE MKWAWA, ROSE bibi kidomodomo, na wengine. Kipekee tunatoa shukrani zetu za dhati kwa uongozi wa chuo na  wakatoliki wote walioruhusu sherehe hii kufanyika katika ukumbi tajwa hapo juu.
"MUNGU AWABARIKI WOTE WALIYOJITOA KATIKA KUIFANYA KAZI YAKE KWA MOYO".













No comments:

Post a Comment