BWANA ASIFIWE!!!!!!!!!......Tunamshukuru MUNGU wa mbinguni aliyetufanikisha kuwa na ibada ya kipekee siku ya Jumapili(11/12/2016). Katika ibada ya jana tulimuona MUNGU katika namna ya tofauti sana ibada hiyo iliongozwa na Mchungaji Elizabeth Amos kutoka usharika wa k.k.k.t ndiuka katika ibada hiyo maombi na maombezi yalifanyika. Praise team walihudumu na kuichangamsha ibada pamoja na hayo pia waimbaji binafsi walikuepo kuhudumia ibada......Karibu utazame matukio katika picha na MUNGU wa mbinguni akubariki
Mchunga Elizabeth Amos akiongoza ibada |
Mchungaji Elizabeth Amos akihubiri neno la MUNGU |
Mzee wa usharika akisoma neno la siku ya Ibada |
Mwenyekiti wa maombi(Yohana Robert) akitoa muongozo wa maombi yakuombea |
Washarika wakiwa katika utulivu wa hali ya juu |
Kaka Yohana Musa akihudumia ibada kwa njia ya uimbaji |
Praise team wakihudumu katika ibada |