Monday, December 12, 2016

BWANA ASIFIWE!!!!!!!!!......Tunamshukuru MUNGU wa mbinguni aliyetufanikisha kuwa na ibada ya kipekee siku ya Jumapili(11/12/2016). Katika ibada ya jana tulimuona MUNGU katika namna ya tofauti sana ibada hiyo iliongozwa na Mchungaji Elizabeth Amos kutoka usharika wa k.k.k.t ndiuka katika ibada hiyo maombi na maombezi yalifanyika. Praise team walihudumu na kuichangamsha ibada pamoja na hayo pia waimbaji binafsi walikuepo kuhudumia ibada......Karibu utazame matukio katika picha na MUNGU wa mbinguni akubariki
Mchunga Elizabeth Amos akiongoza ibada

Mchungaji Elizabeth Amos akihubiri neno la MUNGU

Mzee wa usharika akisoma neno la siku ya Ibada

Mwenyekiti wa maombi(Yohana Robert) akitoa muongozo wa maombi yakuombea

Washarika wakiwa katika utulivu wa hali ya juu

Kaka Yohana Musa akihudumia ibada kwa njia ya uimbaji

Praise team wakihudumu katika ibada

No comments:

Post a Comment