Sunday, October 19, 2014

                              CCT RUCO YAPOKEA UGENI
Wana CCT katika ibada ya leo wamepokea ugeni toka Wanachuo wa kanisa katoliki ( TYCS) waliobeba ujumbe muhimu kuhusu uhai. Ni juu ya maisha ya binadamu toka kuzaliwa mpaka kifo. Ujumbe wao ulibeba zaidi ju ya maisha ya wanachuo wasomi na maisha ya kisasa yalibeba maudhui ya kimagharibi.
ujumbe umezingatia ule ujumbe wa kiblia unaosema :"watu wanngu wanaangamia kwa kukosamaarifa"

                                       Kiongozi wa ujumbe toka TYCS akitoa ujumbe wake.
Aidha mwenyekiti wa ujumbe huo amewaalika wana CCT kuhudhuria mkutano mkubwa uliondaliwa kwa ajili ya programu ya UHAI iliyozinduliwa kwa ajili ya kukomboa uhai wa waafrika waliyoandaa. Mkutano utafanyika RUCO tarehe 22/11/2014.

                       Wageni toka TYCS walioongozana na ujumbe wa Mwenyekiti wa TYCS




No comments:

Post a Comment