Tuesday, January 27, 2015

KUBARIKIWA KATIKA IBADA.

Shaloom wapendwa katika utatu mtakatifu, tunapenda kumshukuru mungu mwenyezi kwa kutuwezesha kufanya ibada takatifu katika siku nyingine ya kipekee ya tar25/01/2015. Ni neema tu kwani si kwa uweza wetu. Ahimidiwe mungu ambae tunaendelea kumshuhudia kila tuamkapo na sasa tunasema yeye ni ebeneza. 
Sifa na utukufu ziwe kwake yeye anayestahili kupewa sifa kwani ni jumapili ambayo tumeweza kujifunza neno takatifu kutoka katika kitabu cha daniel zaidi kamati ya maandalizi ya kurekodi mkanda wa pili wa video ya hope kwaya iliweza kufanya mnada mwingine kwaajili ya makusanyo ya shughuli ya kurekodi mkanda wa pili wa video wa kwaya ya hope. bila kusahau ibada ya fellowship iliyofanyika mchana siku hiyo mara baada ya ibada kipekee tumebarikiwa sana. amen.

CCTRUCU inapenda kuwatakia mtihani mwema na MUNGU awajalieni afya njema na kumbukumbu katika mitihani yenu. AMEN!!!!!!!!


 Praise team wakimsifu mungu




 wazee kanisa wazamu



 mchungaji akiongoza wimbo katika tenzi





 mpiga kinanda akipiga kinanda kwa umashuhuri wake kumsifu mungu





 vijana wakicheza kwaajili ya kumsifu mungu




 kiongozi wa maombi akisoma somo kama muongozo wa maombi ya siku.



 mzee wa zamu akisoma neno takatifu







 wanakwaya  wa hope wakiwa stejini wakimtukuza mungu kupitia uimbaji



 wanakwaya wa hope wakiwa stejini















 mzee wa zamu akisoma matangazo

















 wanakamati wakiendesha mnada




























































 ni katika kumtolea mungu sadaka









No comments:

Post a Comment