Sunday, February 22, 2015

BARAKA KATIKA IBADA


Neema ya bwana wetu yesu kristo na upendo wa mungu baba ukae nasi sasa na hata milele. Haleluya wapendwa katika bwana tunapenda kumshukuru mungu kwa kuwa nasi katika ibada takatifu iliyofanyika tar 01/02/2015. Ashukuriwe mungu aliyeweza kujidhirisha katika ibada hii takatifu iliyohusisha shukrani ya pekee ambapo uongozi uliotoka madarakani ulimshukuru mungu kwa namna alivyowapingania katika uongozi wao, uongozi huu ulitoa microphone kwaajili ya kuendeshea ibada. vilevile ibada hii waumini mbalimbali walipata nafasi binafsi ya kumshukuru mungu kwa yale aliyowatendea katika maisha yao.
















































1 comment:

  1. Halleluyah! watu wa Mungu nawasihi tuendelee kutembelea blog yetu ya cct na pia nawakaribisha katika
    christdoctrine.blogspot.com

    ReplyDelete