Monday, March 23, 2015

UPONYAJI KATIKA IBADA TAKATIFU

Hakika kama si bwana aliyekuwa pamoja nasi basi maadui wangetushambulia na kututesa. Ashukuriwe mungu aliyejidhihirisha katika ibada takatifu iliyofanyika jumapili ya tarehe 22/03/2015 hapa chuoni RUCU, ambapo waumini mbali mbali walipata kukutana na uponyaji na kufunguliwa katika maisha yao kupitia mpakwa mafuta wa bwana MCHUNGAJI IMANI aliyehubiri na kufanya maombi katika ibada hiyo. Ibada hiyo ilifana kwa namna yake ambapo kwaya ya HOPE na PRAISE TEAM walimwabudu na kumsifu mungu kupitia uimbaji.
















No comments:

Post a Comment