Monday, April 6, 2015

HALELUYA TUSHANGILIE KRISTO AMEFUFUKA

 Haleluya wapendwa katika bwana tushangilie kwa maana YESU KRISTO amefufuka kwa ushindi. Hakika kristo kafufuka, katika ibada ya pasaka wana wa mungu walirudi kundini kwa kumkiri kristo kuwa ni bwana na mwokozi katika maisha yao, ibada hiyo ya pasaka kufanyika ubatizo ambapo watoto wawili walibatizwa na kupewa baraka na heri katika maisha yao kupitia mpakwa mafuta wa mungu MCH. CANON NYAGAWA. Ashukuriwe mungu alitujaria uhai na afya tele katika maisha yetu hata tukapata kusherehekea pasaka na kubarikiwa katika maisha yetu.












No comments:

Post a Comment