Sunday, April 26, 2015

EBENEZER CONFERENCE

Hakika ukuu wa bwana wetu Yesu Kristo ni wa milele!!!! Tunamshukuru mshukuru mungu wa mbinguni aliyetuwezesha kuandaa mkutano wa EBENEZER ambao unashirikisha vyuo vikuu vitatu vya hapa mjini IRINGA yaani IRINGA UNIVERSITY, MKWAWA UNIVERSITY COLLEGE na RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY  ambao ndiyo walikuwa wenyeji wa mkutano.
 Mkutano huu ulihudumiwa na watumishi wa mungu mbali mbali kama kwaya ya  FAITH ALIVE kutoka iringa university, YOUTH ALIVE kutoka mkwawa university na HOPE CHOIR kutoka RUCU, Zaidi mtumishi wa mungu JOSHUA MLELWA akiwa n a MKEWE walimsifu mungu na kumwabudu yeye, pamoja na mtumishi wa mungu  PASCAL CASSIAN ambaye aliimba na kuhubiri katika mkutano huu.
Hakika tumebarikiwa na kupata uponyaji waajabu kwani mungu aliwafungua watu wake kwa namna ya pekee sana "KAMA ASINGEKUWA BWANA ISRAEL NA ASEME SASA".










No comments:

Post a Comment