BWANA ASIFIWE........ Kuelekea ibada ya kesho basi na tujikumbushe kwa uchache matukio kama yalivyotukia jumapili ya wiki iliyopita....Ilikua ni Ibada ya kuweka wakfu vifaa vya vyombo vya muziki vya kanisa pamoja na kushiriki meza ya BWANA..... ilikua ni ibada iliyojaa shangwe na furaha pia tulipokea ugeni kutoka kwa mbunge mama Ritta kabati ambaye aliambatana na wageni mbalimbali kutoka ofisi yake.....Mh Ritta ndiye aliyezindua vyombo hivyo pia vyombo vya habari vilikuwepo kuchukua matukio katika ibada hiyo
Washarika waliokuja kumshukuru MUNGU |
Mchungaji akiongoza nyimbo za vitabuni |
Hope kwaya wakiwa kazini |
Mwandishi wa Tv 1 akisalimia washarika |
Mlezi wa CCT RUCU ms BABY BARAKA CHUMA akitoa neno |
Washarika wakifuatilia kwa makini ibadani |
Mheshimiwa Ritta Kabati akitoa neno la shukrani |
Zoezi la kuweka wakfu vyombo likiwa linaendele |
Washarika wakishiriki meza ya BWANA |
No comments:
Post a Comment