Sunday, November 8, 2015

HAKIKA TUNAYE MUNGU

Uongozi wa CCT RUCU unayofuraha kuwakaribisha wanachuo wote katika ibada za katikati ya wiki na kila jumapili ambazo hufanyika hapa chuoni RUCU. Zaidi uongozi unawakaribisha wanacct wageni yaani first years ambao awali walijulikana kama WANAUKWATA katika shule zao yaani kutoka makanisa kama K.K.K.T, AIC, ANGLICAN, MORAVIAN, MENONITE, BAPTIST,JESHI LA WOKOVU, UINJILISTI MBALIZI,SALVATION ARMY,CHURCH OF GOD IN TANZANIA,AFRICAN BROTHERHOOD CHURCH,PRESBYTERIAN na BIBLE CHURCH OF TANZANIA. Kwa maelezo zaidi kuhusu  CCT RUCU tunawakaribisha katika ofisi zetu zilizopo mkabala na ASSEMBLY HALL hapa chuoni  RUCU.

 "NJOONI NYOTE TUSEMEZANE ASEMA BWANA!!"

No comments:

Post a Comment