Wednesday, November 18, 2015

USHIRIKA MTAKATIFU

Uongozi wa CCT RUCU unapenda kuchukua nafasi ya kipekee kwanza katika kumshukuru Mungu aliyetuwezesha kufika siku ya Tarehe 15/11/2015, ili kujumuika pamoja katika ibada takatifu. Ibada hii ilihusisha ushirika mtakatifu na watu mbalimbali walipata nafasi ya kumshukuru Mungu kwa mambo mengi aliyowatendea katika maisha yao. Zaidi ibada hii ilipambwa na waimbaji kutoka chuo kikuu cha Mkwawa pamoja na praise and worship team. Ashukuriwe mungu kwa kumtumia mpakwa mafuta wake mchungaji CANON NYAGAWA katika kuongoza ibada hiyo.










No comments:

Post a Comment