Wednesday, December 2, 2015

JOINT-FELLOWSHIP

Hakika Mungu ni mwema kila wakati. Uongozi wa CCT RUCU unapenda kutoa shukrani za pekee kwa waumini wote waliopata nafasi kushiriki ibada pamoja na JOINT-FELLOWSHIP iliyofanyika hapa chuoni siku ya jumapili ya tar 28/11/2015. 
"MUNGU AWABARIKI WOTE KATIKA MASOMO NA MAISHA YENU" AMEN!!!!!!!!






No comments:

Post a Comment