Monday, December 21, 2015

WELCOME FIRST YEARS

MUNGU akiwa upande wetu ni nani aliyejuu yetu? uongozi wa CCT-RUCU unapenda kumshukuru MUNGU aliyewezesha kufanyika kwa sherehe za kuwakaribisha mwaka wa kwanza katika jumuiya ya wakristo wa RUCU yaani CCT- RUCU wa kutoka vitivo mbali mbali iliyofanyika tarehe 20/12/2015. Siku hiyo kulifanyika ibada iliyohusisha UBATIZO na MEZA YA BWANA. Hakika ilikuwa ni siku pekee ya kufurahia ujio wa wanaCCT wapya, na mungu awabariki wote mlioweza kushiriki ibada hiyo kwa namna moja ama nyingine.







No comments:

Post a Comment