Sunday, January 24, 2016

JUMAPILI YA UCHAGUZI

Haleluya wapendwa! tunapenda kumshukuru mungu katika kutufikisha siku hii ya leo tar 24/01/2016 hatimaye kufanikisha zoezi la uchaguzi wa viongozi wa CCT-RUCU. Zaidi tunapenda kuwashukuru waumini wote mliofunga na kuomba katika uchaguzi huu bila kusahau waumini wote pia kwa umoja wenu kwa kushiriki zoezi la uchaguzi. Hakika mungu amewachagua viongozi wake ili wamtumikie basi kwa sababu hiyo tunaomba kudumisha ushirikiano katika kuitenda kazi yake. 
"MUNGU AWABARIKI SANA"








HAWA NDIYO VIONGOZI WAPYA CCT-RUCU 2016/2017.

No comments:

Post a Comment