Sunday, February 7, 2016

IBADA YA KUWEKA WAKFU KINANDA KIPYA CHA KANISA

Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA, Lihimidini jina lake njooni mbele zake kwa kusifu kwa vinanda na vinubi na kucheza. Tunamshukuru MUNGU katika ibada ya leo tumeweza kufanikisha kukiweka kinanda wakfu kwaajili ya kazi ya BWANA tendo hilo ambalo lilifanywa na Mchungaji kiongozi Nyagawa..Pia katika ibada ya leo kulikua na tendo la kuwaingiza kazini baadhi ya viongozi wapya wa CCT ambao hawakuweza kufika katika ibada ya juma lililopita. Katika ibada hii pia wapo wapendwa washarika waliokuja mbele zake kumshukuru kwa sadaka ya shukrani kwa mambo mengi makuu aliyowatendea..Pamoja na hayo maombi yalifanyika kwaajili ya wanafunzi wote ambao wanatarajia kuanza mitihani ya mwisho wa semister..MUNGU awabariki wote walishiriki Amen.






1 comment:

  1. Mungu wa mbinguni aibariki kazi ya mikono yenu. Nimefarijik kuona mmefanikisha upatikamaji wa kinanda kipy maana kweli kile cha awali kilichoka. Sasa najua haya yote ni kwa neema na rehema zake Mungu wetu wa mbinguni. God bless CCT, God bless REV. Nyagawa

    ReplyDelete