Monday, April 11, 2016

Biblia imeandika katika kitabu cha Kutoka 20:8. Kuikumbuka siku ya BWANA na kuitakasa. Yafuatayo ni baadhi ya matukio yaliotukia katika ibada ya jumapili ya 10/04/2016 . Tunamshukuru MUNGU wa mbinguni kipekee ilikua ni ibada iliyojaa neema na baraka tele. Katika ibada hiyo tulipata ugeni kutoka kwa mchunngaji Roden mbwilo kutoka dayosisi kuu ya iringa ambaye ndiye aliyetulisha neno la MUNGU akishirikiana na mchungaji kiongozi Canon nyagawa. Ilikua ni ibada yenye furaha watu walimuona BWANA katika viwango vingine. Pia katika ibada hiyo tulipata ugeni toka kwa mlezi wa wanafunzi hapa chuoni(DEAN) ambaye pia alijumuika pamoja nasi katika kumsifu na kumtukuza MUNGU....MUNGU awabariki wale wote walioshiriki kumtolea matoleo na pia walio fanikisha maandalizi ya ibada AMEN...
Mch.Rodeni Mbwilo alikiwalisha washarika wa CCT neno la MUNGU







HOPE kwaya ikuhudumu katika ibada
Washarika wa CCT waliofika ibadani kumwabudu BWANA

Dean Of Student akitoa salamu kwa washarika wa CCT
Mzee wa Kanisa akisoma neno la siku ya ibada
Mzee wa kanisa akisoma matangazo




No comments:

Post a Comment