Haleluyah!! Haleluyah!! Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA Haleluya!! Zab:150. Hope Choir inakualika bila kukosa katika uzinduzi wa video album yao inayoitwa "JINA LA YESU".Kuanzia saa 7:00 mchana mahali ni chuo kikuu cha kikatoliki Ruaha (RUCU) katika ukumbi wa Assembly Hall. Mgeni rasmi atakua ni mkuu wa wilaya ya Iringa Mh.Kasesela akiongoza pamoja na wageni waalikwa wengine wengi pia vikundi mbali mbali vya kwaya vitakuwepo kukuburudisha kama Youth Alive Choir(CCT-MUCE) na Faith Choir(CCT-IRINGA) . "HII SI YA KUKOSA NJOO USHUHUDIE WANA WA ZAMBE WAKIFANYA YA MUNGU". Haleluyaaaaaaah!!!!
No comments:
Post a Comment