Amani ya kristo iwe nawe....Kama ulipitwa na tukio la uinduzi wa hope kwaya 24/04/2016. Usiwe na shaka hebu tujikumbushe matukio machache haya kama ilivyokua siku ya uzinduzi katika chuo kikuu cha kikatoliki Tanzania (RUCU) kwenye ukumbi wa assembly hall....Ambapo uzinduzi ulimpa sifa BWANA na pia ulikuwa wa kupendeza sana....Karibu!!!!
 |
Hope kwaya wakiingia ukumbini |
 |
Kwaya ya watoto ikihudumu |
 |
Kwaya ya MUCE ikihudumu
|
 |
Hope kwaya wakipanda stejini
|
 |
Hope kwaya wakiwa tayari kumsifu MUNGU |
 |
Mkuu wa wilaya ya Iringa mjini na vijini Mh.Richard kasesela akizindua Album ya Hope kwaya |
 |
Meneja wa CRDB iringa akiwa na ms Baby chuma tayari kufungua zoezi la changizo ya keki |
 |
Watu waliofika kushuhudia uzinduzi wa Hope kwaya |
 |
Hope kwaya wakifuatilia matukio ndani ya ukumbi |
 |
Ms.Baby chuma mlezi wa CCTRUCU akitoa salamu |
 |
Kamati ya uzinduzi kwenye picha ya pamoja na wageni waalikwa |
 |
Hope kwaya wakiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa |
No comments:
Post a Comment