Jina la BWANA libarikiwe.....Mpendwa katika BWANA basi kama hukupata kushiriki ibada ya jumapili ya tarehe 15/05/2015. Basi na tujikumbushe matukio machache kama yalivyotukia siku ya ibada. Ambapo neno la MUNGU lilitolewa na mlezi wa CCTRUCU ms BABY BARAKA CHUMA lakini pia tulipata ugeni wa mchungaji kutoka kanisa la dodoma anglikani ambaye alishiriki pamoja
nasi katika ibada hiyo iliyojaa matendo makuu ya MUNGU. Karibu kwa uchache upitie matukio hayo na ubarikiwe na MUNGU ALIYE HAI.
 |
Mchungaji Canon nyagawa akiongoza nyimbo za vitabuni |
 |
Mchungaji kutoka Anglikani dodoma |
 |
Praise team wakimsifu MUNGU |
No comments:
Post a Comment