Bwana apewe sifa......Tuna kila sababu ya kumshukuru MUNGU aliyetupigania na kuifanikisha ibada ya tarehe 29/05/2016 ambapo watu walimuona MUNGU katika namna ya kipekee na kubarikiwa. Yafuatayo ni Baadhi ya matukio machache kama yalivyotukia katika ibada hiyo..
Mchungaji canon Nyagawa akihuburi neno la MUNGU |
HOPE kwaya wakifanya igizo katika ibada |
Mzee wa kanisa akisoma neno la Jumapili |
PRAISE AND WORSHIP TEAM wakimsifu na kumuabudu MUNGU |
Washarika waliokuja madhabauni kwa BWANA kumshukuru MUNGU kwa matendo makuu MUNGU aliyowatendea |
Washarika waliohudhuria ibada wakisikiliza neno la MUNGU |
No comments:
Post a Comment