Thursday, November 17, 2016

BWANA ASIFIWIE.......Mtu wa MUNGU kwa uchache napenda nikukumbushe matukio machache kama yalivyotukia siku ya jumapili ya 13/11/2016 kama ulikosa nafasi ya kuhudhulia ibadani. Ibada ilijaa uwepo wa MUNGU watu walimsifu MUNGU kwa shangwe na furaha sana pia katika ibada hiyo tulipata ugeni toka kwa mchungaji kutoka kanisa la kihesa lutheran ambaye alitulisha neno la BWANA kwaya zote yaani Hope kwaya na Praise team walihudumu katika ibada hiyo......karibu ushuhudie matukio machache katika picha na MUNGU AKUBARIKI!!!!..
Washarika wakimshukuru MUNGU kwa sadaka ya pekee
Mchungaji akiombea matoleo

Hope kwaya wakihudumu katika ibada

Washarika wakisikiliza neno kwa umakini sana


No comments:

Post a Comment